Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Argentina nchini Tanzania Mhe.Bibianna Lucila Johnes ikulu jijini Dar es Salaam Julai 03,2015 na kisha kufanya mazungumzo mafupi na balozi huyo
Balozi mpya wa Qatar katika Tanzania, Mheshimiwa Abdallah Jassim Mohamed Al-Medady katikati akipokelewa Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Julai 4, 2015, amepokea Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Qatar katika Tanzania, Mheshimiwa Abdallah Jassim Mohamed Al-Medady.Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Julai 4, 2015, akimpokea Balozi mpya wa Qatar katika Tanzania, Mheshimiwa Abdallah Jassim Mohamed Al-Medady.Ikulu jijini Dar es salaam