Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi CCM katika ukumbi mpya wa Mikutano wa CCM Dodoma julai 11,2015
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitangaza kufanyika uchaguzi wa mgombea Urais mwaka 2015
wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam wakifuatilia Hotuba ya mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na aliyekuwa mmoja wa wagombea urais kwa tiketi ya CCM Waziri Mkuu wa Mstaafu Edward Lowassa, wakati wa mkutano huo.
Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli, akijieleza na kuwaomba kura kwa wajumbe wa mkutano mkuu
Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. Asha-Rose Migiro, akijieleza na kuwaomba kura kwa wajumbe wa mkutano mkuu
Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Fatma Said Ally akijieleza na kuwaomba kura kwa wajumbe wa mkutano mkuu
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga kura yake wakati wa mkutano huo.
Mugombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na watoto wa Rais jakaya mrisho kikwete wakati wa mkutano mkuu wa CCM Dodoma