RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA MODENAIZESHENI YA SEKTA YA MIFUGO JULAI 20,2015

unnamed

 

unnamed-1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye jarida la Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo baada ya kuuzindua mpango huo leo Julai 20, 2015   

unnamed-2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na maafisa waandamizi wa Wizara ya Mifugo baada ya kuzindua   Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo Jumatatu Julai 20, 2015

unnamed-3

 

 

unnamed-4       Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na jamii ya wafugaji wa kabila la Kimaasai baada ya kuzindua  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo  Julai 20, 2015. Pamoja naye ni Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Mhe. Raila Odinga ambaye yupo nchini kwa ziara binafsi.

unnamed-5    Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma jarida la  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015

unnamed-6     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipena mikono na Dkt. Kaush Arha baada ya kuongea katika uzinduzi wa  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo  Julai 20, 2015. 

unnamed-7Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015

unnamed-8Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipatiwa maelezo kuhusu miradi ya maendeleo ya Wizara ya Mifugo kutoka kwa mmoja wa maafisa waandamizi wa wizara hiyo wakati  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. hata hivyo Rais alionesha kutofurahishwa na utendaji wa Wizara hiyo na kuwataka watendaji wake wabadilike kimawazo kwa kutenda kazi kwa njia za kisasa ili kuiendeleza sekta hiyo muhimu kwa haraka.

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *