RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AKABIDHIWA JOHO NA CHETI CHA SHAHADA YA DOCTOR OF LAWS KUTOKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM JULAI 21,2015

1fzfxfxf112

Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandala akimkabidhi Rais Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete cheti cha Shahada ya Heshima ya Doctor of Laws(Honoris Causa) wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi Rais joho na cheti iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na maprofesa waandamizi wa chuo hicho.Tayari Rais Kikwete alishatunukiwa shahada hiyo katika mahafali ya 41 ya UDSM yaliyofanyika Octoba mwaka 2011.

unnamed-2 Profesa Agnes Mwakaje wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam akimvika kofia ya kitaaluma Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi Rasmi Rais Joho na cheti cha shahada ya heshima ya Doctor  of Laws(Honoris Causa) ikulu jijini Dar es Salaam Julai 21,2015

unnamed-4Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandala akisoma maelezo mafupi baada yeye na jopo la maprofesa waandamizi wa chuo hicho kumkabidho Joho la taaluma na cheti cha Shahada ya heshima ya Doctor of Laws(Honoris Causa) ya chu kikuu cha Dar es Salaam wakati wa hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Sala

unnamed-5Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandakla pamoja na maprofesa waandamizi wa chuo hicho muda mfupi baada hafla fupi ya kumkabidhi Rais Joho na Cheti cha Shahada ya Heshima ya Doctor of Laws(Honoris Causa) ikliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo

D92A6175

 

 

D92A6180

 

D92A6186

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandakla pamoja na jopo la maprofesa waandamizi wa chuo hicho muda mfupi kabla ya hafla ya kumkabidhi Rais Joho na Cheti cha Shahada ya Heshima ya Doctor of Laws(Honoris Causa) ikliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo

D92A6195Jopo la maprofesa kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *