MABALOZI INDIA,UBELGIJI NA SWEDEN WAMUAGA RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE IKULU JULAI 23,2015

     Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Julai 23,2015 ameagana na mabalozi watatu wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania baada ya kumaliza muda wao wa kazi .                   

       Mabalozi walioagana na Rais Julai 23,2015 Ikulu jijini Dar es Salaam ni pamoja na Mhe.Debnath Shaw wa India,Balozi Koenraad Adam  wa Ubelgiji na balozi Lennarth Hjelmaker wa Sweden.

Pichani

1weweRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi wa India anayemaliza muda wake Mhe.Debnath Shaw wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam julai 23, 2015  

2wses Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na balozi Koenraad Adam wa Ubelgiji ikulu jijini Dar es Salaam julai 23, 2015 alipokwenda kumuaga.   4qweqRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Sweden nchini aliyemaliza muda wake Mhe.Lennarth Hjelmaker ikulu jijini Dar es Salaam julai 23, 2015

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *