RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YALIYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA TANGAMANO MJINI TANGA AGOSTI 03,2015 YENYE KAULI MBIU ENDESHA SALAMA OKOA MAISHA

1hfhfhRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya Uzinduzi wa wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani 2015 wakati wa sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga Agosti 03,2015 yenye Kauli mbiu ya mwaka huu ni Endesha salama okoa maisha 2Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Kamanda wa mkuu wa Usalama Barabarani Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi, Mohamed Mpinga wakati Rais alipowasili katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga kuzindua rasmi maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yenye kauli mbiu endesha Salama Okoa maisha

qeqRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Said Magalula  wakati alipokwenda kuzinduzia wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani 2015 katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga Agosti 03,2015 yenye Kauli mbiu ya mwaka huu ni Endesha salama okoa maisha. Kulia ni naibu Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Mhe. Mhe. Pereira Silima kushoto ni mama Salima Kikwete

3

 

c (2)Baadhi ya wanafunzi wakiandamana na mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu usalama barabarani wakati wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliyofanyika katika viwanja vya Tangamano mjini Tanga 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *