RAIS KIKWETE AKABIDHIWA KOMBE LA KAGAME CECAFA TOKA KWA TIMU YA AZAM FC IKULU DAR ES SALAAM AGOSTI 6, 2015 NA KUWAPONGEZA KWA USHINDI HUO

1

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimsikiliza Meneja wa Klabu bingwa wa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 

2

Rais Jakaya Mrisho kikwete katika pozi na mabingwa Kombe la Kagame na mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015 

3

5Rais Jakaya Mrisho kikwete akikabidhiwa kombe la ubingwa michuano ya  Kagame ya CECAFA  na nahodha wa  mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 6, 2015 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *