RAIS AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI, MABALOZI WA TANZANIA UHOLANZI NA ZIMBABWE NA KUONANA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA NMB IKULU JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 27, 2015

1

 

2sdee Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadaye kuongea na Balozi wa Uturuki nchini anayemaliza muda wake Mhe Ali Davutoglu aliyefika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam  Agosti 27,2015 

3

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala walipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam  Agosti 27,2015

4wewe Rais Jakaya Mrisho kikwete akioneshwa na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB)  Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD  ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam  Agosti 27, 2015  

5 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB)  Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam  Agosti 27, 2015 

6

 

7Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB)  Bi Ineke Bussemaker kadi ya MASTERCARD ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 27, 2015

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *