RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA KANALI MSTAAFU MAREHEMU AYUB KIMBAU HUKO MAFIA AGOSTI 31, 2015

2 Rais Dkt.Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma (aliyeketi na mke wa Marehemu kushoto) wakimfariji mke wa Marehemu Kanali Mstaafu Nyumbani Kwake Mafia wakati wa mazishi ya Mbunge huyo wa zamani wa Mafia  

3

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,mkuu wa Mkoa wa Pwani Evarist Ndikilo na watoto wa marehemu Kanali Mstaafu Marehemu Ayub Kimbau wakiomba dua wakati wa mazishi ya Mbunge huyo wa Zamani wa Mafia yaliyofanyika huko Mafia  

4Baadhi ya wanajeshi wakiwa wamebeba jeneza la Marehemu Kanali Mstaafu Ayub Kimbau aliyewahi kuwa mbunge wa Mafia wakati wa Mazishi yake huko Mafia 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *