RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA WA DRC CONGO JIJINI DAR ES SALAM SEPTEMBA 01, 2015

1

 

2

 

3 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana, kufanya mazungumzo ya faragha na kisha kuagana na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC wakati Rais huyo aliposimama kwa muda katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam September 01,2015 mchana na kisha kurejea Kongo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *