RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI ZA AINA TATU WATUMISHI WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA SEPTEMBER 01,2015

1. NISHANI YA UTUMISHI ULIOTUKUKA TANZANIA 1

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Meja jenerali Yacub Hassan Mohamed nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

2

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Brigedia Jenerali Jacob Gedeon Kingu nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu 

3 

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Kanali Fadhil Omay Nondo nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

4

 Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Luteni Kanali Ian Alphonce Haule nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu  

  1 

 Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Cp Elice Angelo Mapunda  nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu  

 2 

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Dcp Samson Manoc Kassala nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

  7

  Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Dcp Rashid Ally Omar nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

8   Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Dcp Mohamed Ramadhan Mpinga nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

9   Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Cp Gaston Kalamu Sanga nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

10   Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Sacp Gideon Marco Nkana  nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

11   Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Sacp Augustine Sangalali Mbonje nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

12Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Sacp Venant Jacob Kayombo nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania Septemba 01,2015,katia hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

2.NISHANI YA UTUMISHI MREFU TANZANIA

1

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Kanali Mary Bayu Hiki nishani ya utumishi mrefu Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

2

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Kanali Msafiri Mtalika Hamis nishani ya utumishi mrefu Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

3

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Meja Bernard Paul Masala Mlunga nishani ya utumishi mrefu Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

4

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Cp Valentito Longino Mlowola nishani ya utumishi mrefu Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

5

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Dcp Ally Kihuri Lugendo nishani ya utumishi mrefu Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

6

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Sacp Mboje John Kanga nishani ya utumishi mrefu Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

7

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Acp Vincent Protas Marissa nishani ya utumishi mrefu Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

8

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Acp Bakari Namkaa Ndembo nishani ya utumishi mrefu Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

9

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Acp Vincent Mosses Karata  nishani ya utumishi mrefu Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

3.NISHANI YA UTUMISHI MREFU NA TABIA NJEMA

1

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Afisa mteule I Atilio Issa Mgimbe nishani ya utumishi mrefu na tabia njema Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

2

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Sajini Taji Theodat Alfred Banda nishani ya utumishi mrefu na tabia njema Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

3

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Sajini Taji Abdallah Hamad Haji   nishani ya utumishi mrefu na tabia njema Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

4

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Insp Ally Faki Haji nishani ya utumishi mrefu na tabia njema Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

5

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Sajini Meja Charles Andrew Simon nishani ya utumishi mrefu na tabia njema Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

6

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Staff Sergeant Asia Albin Maji nishani ya utumishi mrefu na tabia njema Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

7

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku A/insp Rukia Hilary Mopey nishani ya utumishi mrefu na tabia njema Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

8

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku S/sgt Yasin Abedi Msangi nishani ya utumishi mrefu na tabia njema Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

9

Amir jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku S/sgt Regina Elias Elias Bangu nishani ya utumishi mrefu na tabia njema Tanzania Septemba 01,2015, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *