Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Gwaride la heshima likipita mbele na kutoa heshima kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima wakati akikagua gwaride la heshima katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana na viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. John Haule kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Amos Makalla kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadick kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha IGP Ernest Mangu kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana n viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini Kitabu cha wageni akishuhudiwa na wenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Mama Margaret Kenayatta Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ofisini kwa mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akisalimiana katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika mazungumzo na ujumbe wa Tanzania katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katik mazungumzo ya tete-a-tete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika tete-a-tete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya wakifurahia jambo baada ya picha ya pamoja na viongozi mbalimbali katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kaburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua leo Jumatatu October 5, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima katika kaburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua leo Jumatatu October 5, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua leo Jumatatu October 5, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake nchini humo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima katika kaburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua leo Jumatatu October 5, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake nchini humo.
KAburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiaga baada ya kuzuru kaburi la Baba wa Taifa la Kenya Hayati Mzee Jomo Kenyatta katika viunga vya bunge la nchi hiyo jijini Nairobi alikokwenda kutoa heshima zake na kuweka shada la maua leo Jumatatu October 5, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za ziara yake nchini humo
Ndege la Shirika la Ndege la Air Tanzania iliyomchukua Rais Kikwete ikiwasili uwanjani hapo
Rais Kikwete akishuka katika ndege
Rais Kikwete akilakiwa kwa furaha na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Rais Kikwete akipokea shada la maua
Rais Kikwete akitambulishwa kwa viongozi na maafisa mbalimbali wa Kenya
Rais Kikwete akisalimiana na maafisa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya
Rais Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya
Rais Kikwete akiongozana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Rais Kikwete akiongea na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Rais Kikwete na mwenyeji wake Naibu Rais wa Kenya Mhe Wiliam Ruto wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma vilivyokwenda kumpokea uwanja wa ndege
Rais Kikwete akiongozana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto
Rais Kikwte akiweka saini kitabu cha wageni
Rais Kikwete akiangalia picha mbalimbali zenye historia ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta
Mratibu wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya akisom ratiba wakati wa kuanza kwa shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi
Wana Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya katika shughuli hiyo ya kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

Balozi wa Tanzania nchini kenya Mhe John Haule akiongea wakati wa hafla ya Wana Jumuiya ya Watanzania waishio Kenya waliyoandaa kumuaga Rais Kikwete kwenye hoteli ya Villa Rosa Kempinski jijini Nairobi

RAIS KIKWETE AZINDUA JENGO LA KUHIFADHIA MADAWA LA HOSPITALI YA CCBRT JIJINI DAR ES SALAAM IJUMAA OKTOBA 3, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen Ijumaa Oktoba 3, 2015 . Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa kwa Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete viongozi mbalimbali alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wadau alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi wa nchi wafadhili alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mabalozi alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi akiwa ameongozana na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo l bohari ya madawa huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa
Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa
Rais Kikwete akinyunyizia maji mmea a Mbuyu uliopandwa kama kumbukumbu
Rais Kikwete akifunua kitambaa chenye jina la aina ya huo mbuyu
Rais Kikwete akipokea mchoro wa kitambaa uliotengenezwa na kinamama waliopona ugonjwa wa Fistula
Watendaji na wagonjwa wa Fistula wakishuhudia
Rais Kikwete akiwa na mtoto ambaye mama yake anatobiwa Fistula hospitalini hapo
Rais Kikwete na wadau wengine wakipozi kwa furaha na kinamama walio katika matibabu ya Fistula kutoka kila pembe ya Tanzania
Rais Kikwete akiwapongeza kinamama hao kwa kuwa mashujaa na kujitokeza kutibiwa ugonjwa wa Fistula ambao unatibika
Rais Kikwete akifurahi na mzazi na mtoto anayesubiri kufanyiwa upasuaji wa mdomo-sungura
Rais Kikwete akiongea na mtoto ambaye baada ya kupata matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake
Rais Kikwete na wote wakimshangilia mtoto ambaye baada ya kupata matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake
Rais Kikwete akimpongeza mtoto ambaye baada ya kupata matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake
Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans akiongea katika sherehe za kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Baadhi y wageni waalikwa na wafadhili wa mradi huo
Mshauri wa ufundi wa hospitali ya CCBRT Dkt. Brenda D’Mello akitoa maelezo ya shughuli za hapo
Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid
Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo
Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Bw. Erwin Telemans baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa akimshukuru Rais Kikwete kwa kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Rais Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa, Waziri wa Afya na Mtendaji Mkuu baada ya kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
Karibuni vinywaji baridi waheshimiwa….”Anasema mmoja wa wahudumu
Rais Kikwete akiongea na mabalozi mbalimbali
Rais Kikwete na wadau wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
Rais Kikwete na watendaji wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
Rais Kikwete na wafadhili wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
Rais Kikwete na wajumbe wa Bodi ya hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
Rais Kikwete akiagana na Balozi wa Ujerumani na mabalozi wengine baada ya sherehe hiyo