RAIS KIKWETE AANZA ZIARA YA KISEREKALI SIKU MBILI MSUMBIJI OKTOBA 8,2015

1 RaisFelipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo wakati alipowasili kuanza ziara ya kiserikali ya siku mbili 

2 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Nyusi Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro.Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Dkt.Mahadhi Juma Maalim. 

3 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu kwa Rais Felipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji. 

4

 

5 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi kukagua  gwaride la heshima lililoandaliwa na vikozi vya Ulinzi vya jeshi la Msumbiji

6

 

7Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kiiwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji wakipokea maua kutoka kwa watoto na kasha kupia nao picha.