RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 14, 2014

TAZAMA VIDEO YA HOTUBA YA MHE. RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE MKUTANO WA DIASPORA 14 AGOSTI 2014

 

 

d1

 Rais Jakaya Kikwete akikaribishwa na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah na mratibu wa Diaspora Zanzibar Bw. Hassan Hafidh alipowasili hoteli ya Serena kufungua mkutano wa siku mbili wa Diaspora leo
d2

 Rais Kikwete akimsalimia na Bw. Damien Thereaux, mkuu wa taasisi inayoshughulikia uhamiaji ya International Organisation for  Migration (IOM) 


d3

  Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah


d5

   Rais Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakiongozana  na Mwenyekiti wa Tanzania Diaspora Initiative Bw. Emmanuel Mwachullah kuelekea ukumbini
d9

 

Rais Kikwete akiwa banda la kampuni ya HUAWEI akiangalia  aina mpya ya mawasiliani ya Radio Call zinazopiga picha za video


d12

Rais Kikwete akimpongeza Lucy Naivasha kwa kunadi akaunti ya Tanzanite kwenye mkutano wa Diaspora


d14

Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa CRDB kwenye banda lao la Tanzanite
d24

Rais Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwenye banda lao

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *