SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA AWAMU YA TANO DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI UWANJA WA UHURU NOVEMBA 5,2015

ma2 Rais aliyemaliza muda wake Mzee Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiingia uwangani kwa ajili ya kukabidhi madaraka kwa Rais mpya wa awamu ya tano Rais Dkt. John Pombe Magufuli Novemba 5,2015

ma3 .

ma4 .

ma9.

ma5 Akipata heshima kutoka kwa gwaride liloandaliwa rasmi kwa shughuli hiyo

ma12

 

ma15

 

 

ma17 

ma13

 

ma14

ma16Rais aliyemaliza muda wake Mzee Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi lililounda herufi ya Omega ikiashiria mwisho wa utawala wa awamu ya nne Novemba 5,2015

ma24

 

ma21

 

ma22

 

 

ma20

Viongozi Marais wa nchi mbalimbali pamoja na viongonzi kutoka nchi mbalimbali za Afrika na dunia waliohudhuria sherehe hizo wakishudia

ma27

Rais anayemaliza muda wake wa uongozni akisalimia na makamu wa Rais anayemaliza muda wake katika jukwaa la kiapo mara baada ya kukagua gwaride ra heshima

ma30

 

ma33

 

ma32

 

ma29

viongozi kwenye jukwaa kuu kwa ajili ya shughuli ya kuapa

ma31

viongozi wa Dini kwenye jukwaa kuu kwa ajili ya shughuli ya kuapa

ma28

 

 

1qeeed

 

ma37Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiapa kuwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika uwanja wa Uhuru Novemba 5,2015 

ma41

 

ma42Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini baada ya kuapa kuwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika uwanja wa Uhuru Novemba 5,2015 aliyesimama ni jaji mkuu jaji Othmani Chande

ma45  

ma44  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea vitendea kazi pamoja na kupongezwa na jaji mkuu baada ya kuapishwa

ma 44

 

ma45

 

ma46 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika mkuki na ngao ishara ya utawala  

ma57

 

ma53

 

  ma55 Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassani akiapa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya Tano  ma59

Makau wa Rais anayemaliza muda wake akimpongeza makamu wa Rais mpya baada ya kuapishwa

ma95

 

ma98

 

ma94

 

ma89

 

ma92

 

ma93

 

ma96

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwa ajili yake mara baada ya kuapishwa Novemba 5,2015

 

Viongozi wapya na wastaafu wakibadilishana mawazo

 

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally akisoma dua

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally akimpongeza Rais mpya

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally akimpongeza Rais mpya

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo akisoma sala

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo akimpongeza Rais mpya

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo akimkumbatia kwa furaha Rais mpya

Askofu Dkt.  Alex Malasusa wa kanisa la KKKT

Askofu Dkt.  Alex Malasusa wa kanisa la KKKT akimpongeza Rais mpya

Askofu Dkt.  Alex Malasusa wa kanisa la KKKT akikumbatiana kwa furaha na Rais mpya

 

Majaji wa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu ya Tanzania wakishuhudia tukio hilo la kihistoria

ma127

 

ma103

 

ma131

 

ma128

 

ma100

 

ma124

 

ma125

 

ma141

 

ma126

 

ma108

 

ma129

 

ma150

 

ma102

 

ma134

 

ma101

 

ma111

 

ma107

 

ma132

 

ma139

 

ma138

 

ma144

 

ma137

 

ma118

 

ma104

 

ma106

 

ma105

 

ma112

 

ma142

 

ma143

 

ma135

 

ma136

 

ma130

 

ma109

 

ma116

 

ma117

 

ma113

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *