Daily Archives: March 18, 2015

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA KITUO CHA TAIFA CHA KUHIFADHI KUMBUKUMBU NA NYARAKA KILICHOPO DODOMA MACHI 18,2015

aaaa

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kituo cha Taifa cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka huko kisasa mjini Dodoma Machi 18,2015 Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, watatu kushoto ni Mwenyekiti wa BungeMh. Zungu na kulia ni Waziri wa  nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora Mh.George Mkuchika.

2

 

3vgvhvh

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi na kukata utepe kufungua rasmi Kituo cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma machi 18,2015

4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa ofisi hiyo jinsi Kumbukumbu zinavyoifadhiwa katika  Kituo cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma Machi 18,2015

5

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia moja ya kumbukumbu zilizohifadhiwa katika   Kituo cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma Machi 18,2015

6

 

3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia  kumbukumbu zilizohifadhiwa katika   Kituo cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma Machi 18,2015

b

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia jalada la mwaka 1940 ambapo alisoma utendaji kazi wa Babu yake Chifu  wa Kabila la Wakwere Mrisho Kikwete wakati huo. Jalada hilo ni moja ya majalada ya zamani yaliyohifadhiwa kutumia teknolojia ya kisasa katika Kituo Cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma.Katika hotuba yake wakati wa ufunguzi wa kituo hicho Rais Kikwete ametoa agizo la kuanzishwa Maktaba za Viongozi wa kitaifa hususan Marais wastaafu ili kuhifadhi vyema historia ya nchi.

2

 

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi waliohudhulia ufunguzi huo na kasha na wafanyakazi wa kituo cha Taifa Cha kuhifadhi  Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma baada ya kukifungua rasmi Machi 18,2015

3

 

 Jengo ambalo limefunguliwa rasmi na Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ambalo ni Kituo cha Taifa Cha kuhifadhi Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma 

4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akiondoka katika Jengo la kituo cha Taifa Cha kuhifadhi  Kumbukumbu na nyaraka kilichopo Kisasa mjini Dodoma baada ya kukifungua rasmi Machi 18,2015

 

 

 

 

 

 

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA MAFUNZO YA WAKUU WAPYA WA WILAYA DODOMA MACHI 17, 2015

1a1

 

1a

 

Waziri wa TAMISEMI Mhe.Hawa Ghasia na naibu wake  Mhe. Aggrey Mwanri  wakimkaribisha Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya St.Gaspar mjini Dodoma Machi 17,2015 kwa ajili ya kufungua rasmi mafunzo ya wakuu wa  wilaya wapya yanayofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo

1a2

Waziri wa TAMISEMI Mhe.Hawa Ghasia  akitoa hotuba ya utangulizi kwa ajili ya kumkaribisha   Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili katika Ukumbi wa Hoteli ya St.Gaspar mjini Dodoma Machi 17,2015 kwa ajili ya kufungua rasmi mafunzo ya wakuu wa  wilaya wapya yanayofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo

1b

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mafunzo ya wakuu wa  wilaya wapya yanayofanyika katika ukumbi wa hosteli ya St.Gaspar mjini Dodoma Machi 17,2015 Kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Mhe.Hawa Ghasia,Watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa na kulia ni Naibu waziri TAMISEMI Mhe.Aggrey Mwanri

4

 

3

 

2

Wakuu wa wilaya wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete aliyoitoa wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo kwa wakuu wapya wa wilaya mjini Dodoma Machi 17,2015

unnamed

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wapya wa wilaya aliowateua hivi karibuni baada ya kufungua semina elekezi ya uongozi mjini Dodoma Machi 17,2015 katika ukumbi wa St.Gaspar Wengine katika picha walioketi mbele ni Waziri wa TAMISEMI Mhe. Hawa Ghasia (Watatu kushoto), Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Aggrey Mwanri (Wapili kulia), Katibu Mkuu TAMISEMI Bwana Jumanne Sagini (kushoto), Mwenyekiti wa wakuu wa mikoa ambaye pia ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bwana Abbas Kandoro (wapili kushoto), na watano kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa