Monthly Archives: April 2015

RAIS KIKWETE ASHIRIKI MAZISHI YA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA APRIL 29, 2015

D92A1189

 

D92A1186 Mwili wa Marehemu  Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita ukiwasili katika makaburi ya Kisutu Dar es salaam kwa mazishi April 29, 2015

D92A1274

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika kuomba dua wakati wa mazishi

ashjuygf Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi ya Marehemu  Brigedia Jenerali (Mstaafu) Hashim Mbita wakati wa mazishi yake katika makaburi ya Kisutu April 29, 2015

AMIRI JESHI MKUU, DKT. RAIS KIKWETE ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA APRIL 29, 2015

1xgxgxgdstfw

 

unnamed Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika(OAU) marehemu  Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam April 29, 2015

unnamed-2

 

D92A0790

 

D92A0789

 

D92A0796

Rais Kikwete akiifariji familia ya marehemu  Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam April 29, 2015 muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho

D92A0808

 

D92A0812

 

D92A0814

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini Mkapa akiifariji familia ya Marehemu muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika(OAU) marehemu  Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam April 29, 2015

D92A0686

 

D92A0648

Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wakishiriki katika kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika(OAU) marehemu  Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam April 29, 2015

D92A0649

 

11111

Viongozi mbalimbali wakishiriki katika kutoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya Umoja wa Afrika(OAU) marehemu  Brigedia Jenerali(Mstaafu) Hashim Mbita katika hospitali kuu ya Jeshi Lugalo jijini Dar es Salaam April 29, 2015