Daily Archives: March 10, 2016

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) MARCH 10,2016

fdf133f1-117d-4631-8f60-160f6d60b301Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Ofisi za Benki Kuu ya Tanzania BOT kabla ya kuzungumza na uongozi wa juu wa Benki hiyo.

1dsfsg

 

17919367-acfe-4109-8f80-03fe27c6a41e Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua CV za wafanyakazi wa Benki Kuu ya Tanzania alizoendazo wakati wa ziara yake ya kushtukiza jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Gavana wa Benki Kuu Beno Ndulu March 10,2016

c228ec8c-f71b-4d13-ae25-035f469ef0c2

 

 

a9e4956a-14cc-4565-872b-fb0f984a4798Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na ungozi wa juu wa Benki Kuu ya Tanzania ambao ameupa maelekezo mbalimbali katika kuboresha utendaji wao wa kazi wakila siku

41562810-fc85-43b9-babb-9f7187845816Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiaga baada ya kukutana na kuongea na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango (kushoto)

2e5cbc47-b814-416e-83f8-d7cdca3e99ceRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongozana kutoka nje Gavana wa Benki Kuu Profesa Benno Ndulu alipokutana na kuongea na uongozi wa juu wa Benki Kuu pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango  na Katibu Mkuu wake Dkt. Servacius Likwelile alikofanya ziara ya kushtukiza makao makuu ya BOT jijini Dar es salaam leo Machi 10, 2016