Daily Archives: March 25, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA IJUMAA KUU KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM MARCH 25,2016

3a37ba41-86df-41e4-b33d-0c8c08ac8086Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro akiongoza Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam march 25, 2016

b5be1598-6d72-4ca4-8c4a-d09344387fe1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa katika Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam march 25, 2016

a5fa937f-43fa-4492-98df-59f37aa4fc9fMsalaba ukipelekwa Altereni wakati wa  Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam iliyohudhuriwa pia na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa leo Ijumaa march 25, 2016

9a56b227-65ba-4426-99dd-bd83c503fbe1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akijiandaa kuubusu Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam  march 25, 2016

3c402d89-3287-4a6e-803d-8312a4db3f92

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akibusu Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam march 25, 2016

62c04893-9fe8-483e-9fc9-f1d8e9c38725 Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa akibusu Msalaba wakati wa Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam march 25, 2016

5109cf45-855a-419e-8a90-e49f43bff9aeSehemu ya waumini katika Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam March 25, 2016

3dfb3845-c1a0-49e1-909e-bdd3b20f84d7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na watu wenye ulemavu baada ya  Ibada ya Ijumaa kuu katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam  March 25, 2016