Daily Archives: August 1, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YA SIKU NNE MIKOA YA SINGIDA, TABORA, SHINYANGA NA GEITA

gjhjkhk Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Katoro na Buseresere wakati akielekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita Agosti 1, 2016

7579e735-9ab5-4035-bf45-6dd9c085c1a9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Chato na Naibu Waziri wa Nishati na Mdini Mhe. Dkt Medard Kalemani baada ya kuhutubia wananchi wa Katoro na Buseresere wakati akielekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita Agosti 1, 2016

601b1aed-2495-4f0f-9e98-068ab5999b42Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na madiwani na viongozi wa Katoro na Buseresere baada ya kuhutubia wananchi wakati akielekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita Agosti 1, 2016

3095ff1c-74f0-4e7b-b1ad-b96479a15c0f

 

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsabahi mtoto Shabani Kalemani (miezi 8) na mama yake Asha  Simon na kasha kumbeba baada ya kuhutubia wananchi wa Katoro na Buseresere wakati akielekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita Agosti 1, 2016

0f0a8af7-b841-4513-bfc4-0cff7a461a4cRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akilakiwa kwa furaha kijijini Bwanga  wakati akielekea nyumbani kwake Chato mkoani Geita Agosti 1, 2016

 

KIPINDI CHA ZIARA YA MHE RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI KAHAMA JULAI 31,2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WAKAZI WA MJI WA GEITA JULAI 31,2016

1.

 

1gsdhdjdhRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Geita mjini mara baada ya kuwasili kutoka Kahama Julai 31,2016

4jhWananchi wa Geita wakionesha furaha yao wakati Rais Dkt. Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia mkutano viwanjani hapo.

2wwwjwjRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mamia wa wakazi wa Geita mara baada ya kuwahutubia Julai 31,2016

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika viwanja vya mikutano vya Geita mjini mara baada ya kuhutubia.