Daily Archives: August 18, 2016

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMPATIA BAJAJ MLEMAVU THOMAS KONE AGOSTI 18,2016

2Kaimu Mnikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimkabidhi funguo na nyaraka Bw. Thomas Kone (35) kwa ajili ya Bajaj mpya ambayo amezawadiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kumuona katika TBC1 akiwa anatafuta msaada wa usafiri ili aweze kujikimu kimaisha na familia yake ya mke na watoto wawili. Rais aliguswa na kijana huyu na kuamua kumsaidia kwani pamoja na ulemavu wake ameendelea kuchapa kazi bila wasiwasi. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt Ayoub Rioba ambaye mwanahabari wake Mbozi Katala ndiye aliyemtangaza bwana Kone

3,nnjknkKaimu Mnikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimwangalia Bw. Thomas Kone (35) akipanda  Bajaj yake mpya ambayo amezawadiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alimuona kwenye kipindi cha TBC1 akiwa anatafuta msaada wa usafiri ili aweze kujikimu kimaisha na familia yake ya mke na watoto wawili. Rais aliguswa na kijana huyu na kuamua kumsaidia kwani pamoja na ulemavu wake ameendelea kuchapa kazi bila wasiwasi. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt Ayoub Rioba ambaye mwanahabari wake Mbozi Katala ndiye aliyemtangaza bwana Kone

4Kaimu Mnikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimwangalia Bw. Thomas Kone (35) akiujaribu kuwasha  Bajaji yake mpya ambayo amezawadiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alimuona kwenye kipindi cha TV   katika TBC1 akiwa anatafuta msaada wa usafiri ili aweze kujikimu kimaisha na familia yake ya mke na watoto wawili. Rais aliguswa na kijana huyu na kuamua kumsaidia kwani pamoja na ulemavu wake ameendelea kuchapa kazi bila wasiwasi. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt Ayoub Rioba ambaye mwanahabari wake Mbozi Katala ndiye aliyemtangaza bwana Kone

5 Kaimu Mnikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akitoa salamu za Rais kwa  Bw. Thomas Kone (35) kuhusiana na Bajaji mpya ambayo amezawadiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alimuona kwenye kipindi cha TV   katika TBC1 akiwa anatafuta msaada wa usafiri ili aweze kujikimu kimaisha na familia yake ya mke na watoto wawili. Rais aliguswa na kijana huyu na kuamua kumsaidia kwani pamoja na ulemavu wake ameendelea kuchapa kazi bila wasiwasi. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt Ayoub Rioba ambaye mwanahabari wake Mbozi Katala ndiye aliyemtangaza bwana Kone

6Kaimu Mnikulu ambaye pia ni Naibu Katibu wa Rais Bw. Ngusa Samike akimpongeza mwanahabari Mbozi Katala alieandika na kutumia picha za  Bw. Thomas Kone (35)  na kuopelekea kupata  Bajaj mpya ambayo amezawadiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alimuona kwenye kipindi cha TV   katika TBC1 akiwa anatafuta msaada wa usafiri ili aweze kujikimu kimaisha na familia yake ya mke na watoto wawili. Rais aliguswa na kijana huyu na kuamua kumsaidia kwani pamoja na ulemavu wake ameendelea kuchapa kazi bila wasiwasi. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt Ayoub Rioba na wafanyakazi wa TBC ambao mwanahabari wao Mbozi Katala ndiye aliyemtangaza bwana Kone

 

 TAZAMA VIDEO

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KATIBU MKUU MSAIDIZI WA UMOJA WA MATAIFA DKT. NATALIA KANEM PIA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI BALOZI LIBERAT MFUMUKEKO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 18,2016

1 Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA – Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UNFPA alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya nae mazungumzo.

2Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati akizungumza na aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA – Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo wapili kutoka (kushoto) Ikulu jijini Dar es Salaam.

3Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitazama vitabu alivyopewa na mgeni wake aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA – Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo wapili kutoka (kushoto) Ikulu jijini Dar es Salaam. Wakwanza (kulia) ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiangalia vitabu hivyo

5Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA – Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

sdsgsbsRais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake aliyekuwa Mwakilishi   wa   Shirika   la   Umoja   wa   Mataifa   linaloshughulika   na masuala ya   idadi   ya   watu hapa   nchini   (UNFPA – Tanzania) Dkt.Natalia Kanem ambaye sasa ni Katibu Mkuu Msaidizi na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo watatu kutoka kulia mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga watatu kutoka (kushoto).

7.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanya mazungumzo.