Daily Archives: September 6, 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATEMBELEA ENEO LILILOKUWA NA NYUMBA ZA MAGOMENI KOTA, AONGEA NA WAAKAZI WAKE SEPTEMBA 6,2016

Ukaguzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul makonda, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Ali Hapi na viongozi wengine akitembelea eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam  Septemba 6, 2016

ukaguzi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam Septemba 6, 2016

3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea taarifa ya wakazi wa magomeni kota iliyosomwa kwake na mchungaji John Raymond wakati Rais alipotembelea eneo lililokuwa Magomeni Kota jijini Dar es salaam Septemba 6, 2016

4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiteta jambo na  Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi wakati Rais ali[powatembelea waliokuwa wakazi wa  Magomeni Kota jijini Dar es salaam Septemba 6, 2016

5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Magufuli akihutubia  wananchi waliokuwa wakazi wa magomeni kota alipotembelea na kuongea na wakaazi wa  Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni  jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016

DSC_8785

 

DSC_8934

 

DSC_8936wananchi wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Magufuli wakati  akiwahutubia  wananchi waliokuwa wakazi wa magomeni kota alipotembelea na kuongea na wakaazi wa  Magomeni Kota wilaya ya Kinondoni  jijini Dar es salaam leo Septemba 6, 2016