Monthly Archives: November 2016

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AAGANA NA MGENI WAKE RAIS WA ZAMBIA EDGAR CHAGWA LUNGU KATIKA UWANJA WA NDEGE WA JNIA JIJINI DAR ES SALAAM NOVEMBA 29,2016

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu katika uwanja wa ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

2 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakati wakiangalia kikundi cha matarumbeta kilichokuwa kikitumbuiza uwanjani hapo kabla ya Rais Lungu kuondoka nchini

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakifurahia jambo mara baada ya kuangalia kikundi cha matarumbeta kilichokuwa kikitumbuiza uwanjani hapo kabla ya Rais Lungu kuondoka nchini.

4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu kabla ya Rais huyo wa Zambia kuondoka nchini mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi.

8FSFSFSRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu ambaye ameondoka nchini mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi Novemba 29,2016

AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA DAR ES SALAAM NOVEMBA 29,2016

9XXDGXGGX

 

unnamed-10Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisaini kitabu cha wageni akiwa na  Kamishna Mkuu wa Magereza John Casmir Minja kabla ya kuongea na maafisa na askari wa Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam Novemba 29, 2016

unnamed

 

unnamed-1

 

 

1mzee  Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na baadhi ya maafisa na askari wa Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam  Novemba 29,

unnamed-3Mkuu wa gereza la Ukonga akieleza changamoto za kazi Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli  alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam Novemba 29, 2016

unnamed-4Askari wakiwa na shauku ya kutoa kero zao mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli alipoongea  na  maafisa na askari wa Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam Novemba 29, 2016

unnamed-5Baadhi ya maafisa na askari wa Jeshi la Magereza wakimsikiliza Rais Dkt John Pombe Magufuli alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam  Novemba 29, 2016

unnamed-6Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akichukua maelezo kutoka kwa  maafisa na askari wa Jeshi la Magereza alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam leo Novemba 29, 2016

unnamed-7 Mmoja wa askari wa Kikosi Maalumu cha Magereza wakitoa kero zao mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli  alipofanya ziara ya kustukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam leo Novemba 29, 2016

2

 

3Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na waziri wa mambo ya ndani ya nchi mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Kamishna Mkuu wa Magereza John Casmir Minja na maafisa wengine baada  ya kuongea na maafisa na askari wa Jeshi la Magereza