Daily Archives: August 7, 2017

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA STENDI YA KISASA YA MABASI YA KOROGWE MJINI MKOANI TANGA AGOSTI 7,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe Mjini mkoani Tanga Agosti 7,2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi waliofika katika ufunguzi huo wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga Agosti 7,2017

 

 

 

Taaswira ya wananchi mbalimbali waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga Agosti 7,2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mananchi mara baada ya kufungua Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga Agosti 7,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo kabla ya kufungua rasmi Kituo hicho cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga Agosti 7,2017 

 

 

 

 

Eneo la Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe Mjini Mkoani Tanga