Daily Archives: August 23, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UINGEREZA ANAYESHUGHULIKIA MAMBO YA AFRIKA NA KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA TANZANIA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 23 AGOSTI 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika  Mhe. Rory Stewart alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu   Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchini  Bi. Elizabeth Arthy  aliyeongozana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza  anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mazungumzo na  Waziri wa Mambo ya Nje  wa Uingereza  anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na akiwa na Mkuu   Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchiniBi. Elizabeth Arthy aliyeongozana na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza  anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe. Rory Stewart pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wanahabari akiwa na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza  anayeshughulikia maswala ya Afrika wa Uingereza  Mhe. Rory Stewart  na Mkuu   Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Uingereza (DFID) nchini Bi. Elizabeth Arthy pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Sarah Cooke baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya Rogers Siang’a  Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Rogers Siang’a  Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 23, 2017.