Monthly Archives: July 2018

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKABIDHI HATI ZA VIWANJA VYA DODOMA KWA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI NA WAWAKILISHI WA MASHIRIKA YA KIMATAIFA.IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.JULAI 30,2018

Balozi wa Rwanda nchini na Kiongozi wa Mabalozi  Mhe. Eugene Segore Kayihura akimshukuru Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa niaba ya mabalozi na wawkilishi wa mashirika ya kimataifa kwa kupatiwa bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Julai 30, 2018 

Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Dkt. Augustine Mahiga akimkaribisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuongea na mabalozi na wawkilishi wa mashirika ya kimataifa baada ya kuwapatia  bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Julai 30, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa Afrika kusini nchini Mhe. Thamsangqa Dennis Mseleku hati hati ya kiwanja cha  kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Julai 30, 2018

Rais  wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa Unigereza nchini Mhe. Sarah Cooke  hati ya kiwanja cha  kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Julai 30, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa  China nchini Tanzania  Mhe. Wang Ke hati ya  kiwanja cha  kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Julai 30, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Balozi wa  Kenya nchini Mhe. Dan Kazungu  hati ya kiwanja cha  kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam .Julai 30, 2018

Mabalozi wa nchi mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kupatiwa bila malipo na Rais Dkt John Magufuli hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Julai 30, 2018

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mabalozi wa nchi mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Julai 30, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mabalozi wa nchi mbalimbali na wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Julai 30, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wadogo wa nchi mbalimbali baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Julai 30, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Wawakilishi wa Mashirika Mbalimbali ya Kimataifa baada ya kuwakabidhi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam.Julai 30, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na vingozi wa mkoa wa Dodoma  baada ya kuwakabidhi mabalozi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Julai 30, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wana habari wa kutoka vyombo mbalimbali  baada ya kuwakabidhi mabalozi bila malipo hati za viwanja vya kujengea mjini Dodoma kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam. Julai 30, 2018

RAIS DKT.JOHN MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WATOA POLE KWA MWANAHABARI ERIC SHIGONGO KWA KUFIWA NA MAMA YAKE MZAZI JIJINI DAR ES SALAAM .JULAI 29,2018

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo wakati yeye na  mkewe Mama Janeth Magufuli walipofika  msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam. Julai 29, 2018  kutoa   pole kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na  Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam, Julai 29, 2018. Kushoto ni mwanafamilia Bw. Daudi Machumu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima za mwisho wakiwa na  Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam.Julai 29, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa mwanafamilia wakati yeye na  mkewe Mama Janeth Magufuli walipofika  msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam,Julai 29, 2018  kutoa   pole kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa mwanafamilia Bi Leah James wakati yeye na  mkewe Mama Janeth Magufuli walipofika  msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam.Julai 29, 2018  kutoa   pole kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa pole kwa Mama Veneranda Shigongo, mke wa  Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela wakati yeye na  mkewe Mama Janeth Magufuli walipofika  msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam.Julai 29, 2018  kutoa   pole.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na  Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Global Group Eric Shigongo ambaye amefiwa na mama yake Mzazi Bi Asteria Kahabi Kapela wakati  Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli walipofika kuwafariji msibani Mikocheni B jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018.