Daily Archives: August 7, 2018

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.AGOSTI 7,2018

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifanya sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla na  Katibu Mkuu wa TEC  Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na  Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga, Makamu wa Rais wa Baraza lhilo Dkt. Flavian Kasalla  wakiwa na  Katibu Mkuu wa TEC  Dkt. Charles Kitima,viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikabidhiwa kitabu cha miongozo ya sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga kulia ni Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla na  Katibu Mkuu wa TEC  Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisoma mara baada ya kukabidhiwa kitabu cha miongozo ya sala na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga kulia ni Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla na  Katibu Mkuu wa TEC  Dkt. Charles Kitima viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla huku Rais wa TEC Askofu Gervas John Nyaisonga (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima wakiangalia baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) huku Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla  wakiwa na Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima ambaye anaongea na wanahabari mara baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga na  Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla  wakiwa na  Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Askofu Gervas John Nyaisonga na  Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) Dkt. Flavian Kasalla  wakiwa na  Katibu Mkuu wa Baraza hilo Dkt. Charles Kitima baada ya viongozi hao wapya wa kanisa kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC)   Dkt. Charles Kitima akiwa na Rais wa Baraza hilo Askofu Gervas John Nyaisonga na Makamu wa Rais wa Baraza hilo Dkt. Flavian Kasalla viongozi hao wapya wa kanisa walipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.AGOSTI 7,2018

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi  Alinikisya Cheyo, aliyeongoza ujumbe wa viongozi wapya wa Jumuiya hiyo kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam. Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  Dkt. Fredick Shoo wakati ujumbe wa viongozi wakuu  wa Jumuiya hiyo  ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018.

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Pili  wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  Dkt. Jacob Chimeledya wakati ujumbe wa viongozi wakuu  wa Jumuiya hiyo  ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo  na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania,  Alinikisya Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Fredick Shoo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti  Dkt Jacob Chimeledya na Katibu Mkuu wa CCT  Canon Moses Matonya ujumbe huo viongozi wapya wa jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika sala na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania,  Alinikisya Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Fredick Shoo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti  Dkt Jacob Chimeledya na Katibu Mkuu wa CCT  Canon Moses Matonya ujumbe huo viongozi wapya wa jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasindikiza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania,  Alinikisya Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Fredick Shoo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti  Dkt Jacob Chimeledya na Katibu Mkuu wa CCT  Canon Moses Matonya ujumbe huo viongozi wapya wa jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Fredick Shoo mara baada ya ujumbe huo viongozi wapya wa jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na Makamu wa Pili  wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  Dkt. Jacob Chimeledya wakati ujumbe wa viongozi wakuu  wa Jumuiya hiyo  ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa CCT  Canon Moses Matonya mara baada ya ujumbe huo viongozi wapya wa jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018

 

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kukutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania,  Alinikisya Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Fredick Shoo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti  Dkt Jacob Chimeledya na Katibu Mkuu wa CCT  Canon Moses Matonya ujumbe huo viongozi wapya wa jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam.Agosti 7, 2018