Monthly Archives: May 2019

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA MAKABURI YA MASHUJAA WA ZIMBABWE KATIKA ENEO LA NATIONAL HEROES ACRE WEST WING HARARE NCHINI HUMO. MEI 29,2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mbele ya mnara wa Kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa wa Taifa la Zimbabwe kabla ya kuweka shada la maua katika eneo hilo lililopo kilometa saba kutoka jiji la Harare nchini Zimbabwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua mbele ya mnara wa Kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa wa Taifa la Zimbabwe katika eneo hilo lililopo kilometa saba kutoka jiji la Harare nchini Zimbabwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali mara baada ya kuweka shada la maua katika eneo hilo la makaburi ya mashujaa wa Zimbabwe.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la heshima kabla ya kuweka shada la maua katika eneo hilo la makaburi ya mashujaa wa Zimbabwe.

Mnara wa Kumbukumbu katika eneo la Makaburi ya Mashujaa wa Zimbabwe kama linavyo onekana pichani.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao na Ujumbe wa nchi ya Zimbambwe kilichokuwa kikiongozwa na Rais wa Zimbabwe mheshimiwa Emmerson Mnangagwa katika Ikulu ya Harare nchini Zimbabwe tarehe 29/05/2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi kuhusu Kaburi la mmoja wa Mashujaa wa Zimbabwe Herbert Wiltshire Pfumaindi Chitepo ambaye aliuwawa mwezi machi 1975. Marehemu Herbert Wiltshire Pfumaindi Chitepo alikuwa Mkurugenzi wa Mashtaka DPP mweusi wakwanza Tanganyika na Afrika. 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe mheshimiwa Emmerson Mnangagwa  wakizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo ya kiserikali katika Ikulu ya Harare nchini Zimbabwe tarehe 29/05/2019

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe mheshimiwa Emmerson Mnangagwa  katika picha ya pamoja na Wanahabari  wa Tanzania na Zimbabwe mara baada ya mazungumzo ya kiserikali katika Ikulu ya Harare nchini Zimbabwe tarehe 29/05/2019

 

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS EMMERSON MNANGAGWA WA ZIMBWABWE MARA BAADA YA KUWASILI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA ROBERTH MUGABE PAMOJA NA DHIFA YA KITAIFA ILIYOFANYIKA IKULU JIJINI HARARE. MEI 28, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa wakikabidhiwa maua kutoka kwa watoto kama ishara ya Upendo na kumkaribsha mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa alipokuwa akisalimiana na Kaimu Balozi wa Zimbabwe Nchini Tanzania Martin Tavenyika mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa wakati wimbo wa Taifa unapigwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua paredi maalumu lililoandaliwa na Jeshi la Zimbwabwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019.

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa wakitazama kikundi cha ngoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa wakitazama kikundi cha ngoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa wakitazama kikundi cha ngoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Robeth Mugabe Jijini Harare Nchini Zimbwabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa pamoja Mke wa Rais wa Zimbwabwe Amai Mnangagwa kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa Mnangagwa kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa, Mke wa Rais wa Zimbwabwe Mhe. Amai Mnangagwa(Wapili kutoka kulia),Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi (Wapili kutoka kushoto),Waziri wa Mambo ya nje wa Zimbabwe Mhe.Sibusiso Moyo(Wakwanza kulia) pamoja na Mkuu wa Itifaki wa Tanzania Balozi Grace Martin kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya picha Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa inayoonyesha baadhi ya Wanyama waliopo katika Hifadhi mbalimbali za Wanyama Tanzania pamoja kabla ya kuanza mazungumzo katika Ikulu ya Harare Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akigonga glasi na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa wakati wa Dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais wa Zimbwabwe Ikulu ya Harare nchini Zimbabwe. Mei 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa kwa Dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa Ikulu ya Harare nchini Zimbabwe. Mei 28, 2019.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa Dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa Ikulu ya Harare nchini Zimbabwe. Mei 28, 2019.