Daily Archives: June 1, 2020

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFANYA UKAGUZI KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA JAKAYA KIKWETE CONVENTION CENTER JIJINI DODOMA

Picha namba 1-2-4. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi CCM katika Makao Makuu ya CCM White House Dodoma leo tarehe 1 Juni 2020.

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa mara baada ya kukagua kazi za ukarabati wa ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo tarehe 1 Juni 2020.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula kuhusu Maendeleo ya ukarabati wa ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention jijini Dodoma leo tarehe 1 Juni 2020.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa pamoja na Makamu Mwenyekiti CCM- Bara Philip Mangula akikagua kazi ya ukarabati wa maeneo mbalimbali ya ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention jijini Dodoma leo tarehe 1 Juni 2020

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akipita kukagua ukarabati wa Ukumbi NEC katika Makao Makuu ya CCM White House mkoani Dodoma.