Daily Archives: February 26, 2021

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA SARE ZA POLISI NA KUZINDUA MAJENGO YA CHUO CHA MAAFISA WA POLISI KURASINIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria Uzinduzi Rasmi wa Majengo ya Chuo cha taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini jijini Dar es salaam. kwenye Picha pamoja na Mhe. Rais ni Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam waheshimiwa wabunge wa mkoa na  Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro na viongozi wengine wa Serikali leo Tarehe 25 Februari 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maafisa na Askari wa Jeshi la Polisi baada ya kumaliza kukata utepe wa Uzinduzi Rasmi wa Majengo ya Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini jijini Dar es salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka viwanja vya chuo cha mafunzo ya Taaluma cha Polisi kilichopo Kurasini jijini Dar es salaam.