Daily Archives: July 8, 2021

Mhe. rais Samia Suluhu Hassan Ashiriki Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo Mkoani Morogoro leo Tarehe 08 Julai, 2021.

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa dini alipowasili katika Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo (CCT) Kilakala, Mkoani Morogoro
Baadhi ya viongozi wa dini na Wakristo waliohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo (CCT), Kilakala Mkoani Morogoro.