Daily Archives: September 27, 2021

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awaapisha Viongozi Wawili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Tarehe 27 Septemba, 2021


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mathew Modest Kilama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Togolani Edriss Mavura kuwa Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021.

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Mathew Modest Kilama akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Korea ya Kusini Togolani Edriss Mavura wakila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021

Mhe.Rais Samia Apokea Hati za Utambulisho Kutoka kwa Balozi wa Somalia Nchini na Balozi wa Ufaransa Nchini, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 27 Septemba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Somalia Nchini Mhe. Zahra Ali Hassan, Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 27,2021. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Somalia Nchini Mhe. Zahra Ali Hassan, muda mfupi baada ya Balozi Zahra kukabidhi Hati ya Utambulisho Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 27, 2021. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Somalia Nchini Mhe. Zahra Ali Hassan, muda mfupi baada ya Balozi Zahra kukabidhi Hati ya Utambulisho Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 27, 2021. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufaransa Nchini Mhe. Nabil Hajlaoui, Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 27, 2021. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Ufaranza Nchini Mhe. Nabil Hajlaoui, muda mfupi baada ya Balozi Nabil kukabidhi Hati ya Utambulisho Ikulu Chamwino Jijji Dodoma leo Sept 27, 2021. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula.