Daily Archives: October 11, 2021

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Azindua Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko-19 Tarehe 10 Oktoba, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye uzinduzi  wa kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko-19 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi nje ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma mara baada ya kuzindua rasmi kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya Uviko-19.
.