Daily Archives: October 25, 2021

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awaapisha Waziri, Naibu Mawaziri na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Tarehe 24 Oktoba, 2021 Ikilu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Pauline Philipo Gekul (Mb) kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Eng. Kundo Endrea Mathew (Mb) kuwa Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Jaji Jacob Casthom Mwatembela Mwambengele kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu. Asina Abdallah Omar kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Serikali mara baada ya kumuapisha Waziri, Naibu Mawaziri katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) wa kwanza kulia, Naibu Waziri Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Philipo Gekul (Mb), Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Eng. Kundo Endrea Mathew (Mb) Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jacob Casthom Mwatembela Mwambengele, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Magdalena Kamugisha Rwebangira  na  Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu. Asina Abdallah Omar wakila kiapo cha Maadili ya Utumishi wa umma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan