Daily Archives: November 29, 2021

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Yoweri Museveni Washiriki katika Kufunga kongamano la Wafanyabiashara kati ya Tanzania na Uganda tarehe 28 Novemba, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya ufungaji wa Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda lililohudhuriwa na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni tarehe 28 Novemba 2021 katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam.
.
.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kufunga Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda lililofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam leo tarehe 28 Novemba 2021.
 
.