Daily Archives: December 14, 2021

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Aondoka jijini Dar es Salaama na Kuelekea Makao Makuu ya Nchi Jijini Dodoma Leo Tarehe 14 Desemba, 2021

.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makala katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam alipokua akiondoka kwenda Makao Makuu ya Nchi jijini Dodoma  tarehe 14 Desemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma alipokua akitokea Jijini Dar es Salaam leo tarehe 14 Desemba 2021.
.
.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Ashuhudia Utiaji Saini Mikataba ya Uchimbaji Madini Nchini Tarehe 13 Desemba, 2021 katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya utiaji Saini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni 4 za Uchimbaji wa Madini za Black Rock Mining LimitedStrandline Resources Limited na Nyanzaga katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Desemba 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia tukio la Utiaji Saini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za Uchimbaji Madini za Black Rock Mining LimitedStrandline Resources Limited na Nyanzaga katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Desemba 2021.
.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia makabidhiano ya Hati mara baada ya tukio hilo la kusaini makubaliano kati ya Serikali na Kampuni za uchimbaji Madini za Black Rock Mining LimitedStrandline Resources Limited na Nyanzaga katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Desemba 2021.
.
.