Daily Archives: December 16, 2021

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, azindua Kamati ya Ushauri ya Kitaifa ya Utekelezaji wa ahadi za Nchi kuhusu Kizazi chenye Usawa (Generation Equality Centre) katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma Tarehe 16 Desemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wakati akizundua Kamati ya Ushauri ya Kitaifa ya Utekelezaji wa Ahadi za Nchi kwenye Jukwaa la Kizazi chenye Usawa katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma   leo tarehe 16 Desemba  2021.
.
.
.
.
.
.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, afungua Mkutano wa Wadau wa Kujadili Hali ya Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa nchini Tanzania katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma Tarehe 15 Desemba, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano wa Wadau wa kujadili hali ya Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa nchini Tanzania katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma leo tarehe 15 Desemba 2021.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.