Daily Archives: January 9, 2022

UTEUZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, tarehe 08 Januari, 2022 amemteua Bw. Willy L. Machumu kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro.

Bw. Machumu alikuwa Mtendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi, anachukua nafasi ya Dkt. Seif A. Shekalaghe aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya.