Daily Archives: January 11, 2022

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Afungua Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd Zanzibar tarehe 11 Januari, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2022.
.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Viwanda na Maendeleo ya Biashara Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban alipokua akitembelea Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar mara baada ya kukifungua rasmi kiwanda hicho tarehe 11 Januari, 2022 katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi katika Hafla ya ufunguzi wa Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar tarehe 11 Januari, 2022 katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.