Daily Archives: June 11, 2022

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Akiwaaga Wananchi wa Mkoa wa Kagera Tarehe 10 Juni, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wananchi wa mkoa wa Kagera alipokuwa njiani kuelekea uwanja wa ndege wa Bukoba kurejea Mkoani Dodoma baada ya kukamilisha ziara yake ya siku 3 tarehe 10 Juni, 2022.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na vikundi mbalimbali vya ngoma katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba baada ya kukamilisha ziara yake ya siku 3 Mkoani Kagera tarehe 10 Juni, 2022.
 
.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Afungua Msikiti wa Jami`ul Istiqama Bukoba Tarehe 10 Juni, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera kwa ajili ya kufungua rasmi Msikiti huo tarehe 10 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa kitambaa kuashiria kuzindua rasmi Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera tarehe 10 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera tarehe 10 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Istiqama mara baada ya kufungua  rasmi Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera tarehe 10 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi wa Dini pamoja na Wananchi kwenye Hafla ya ufunguzi wa Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera tarehe 10 Juni, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Tuzo Mwakilishi wa Balozi wa Oman Nchini kwa Niaba ya Balozi kwa kutambua Jitihada zake katika Nyanja mbalimbali za Maendeleo hapa nchini, wakati wa Hafla ya ufunguzi wa Msikiti wa JAMI`UL  ISTIQAMA Bukoba mjini  Mkoani  Kagera tarehe 10 Juni, 2022.