AMIRI JESHI MKUU RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA 205 WA JESHI LA WANANCHI KATIKA CHUO CHA MAOFISA WA KIJESHI MONDULI JANUARI 23, 2016

1 Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Nchini Generali Davis Mwamunyange katikati ni Mkuu wa chuo cha Maofisa wa Jeshi Monduli Maj Gen Paul Peter Massao wakati apowasili katika chuo cha Maafisa wa Kijeshi Monduli Mkoani Arusha kwa ajili ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya  205 wa jeshi kwa cheo cha Luteni Usu Januari 23,2016

2 Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwa gari la wazi kwenye viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli kwa ajili ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya 205 wa jeshi kwa cheo cha Luteni Usu Januari 23,2016

3 Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli kwa ajili ya kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya 205 wa jeshi kwa cheo cha Luteni Usu Januari 23,2016

4 Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwalide lililoandaliwa rasmi na wahitimu wa Chuo cha Mafunzo ya maofisa wa Kijeshi Monduli ambapo alikwenda kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya  205 wa jeshi kwa cheo cha Luteni Usu Januari 23,2016

5 Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kuapokea hewshima wakati gwaride la wahitimu wa mafunzo ya maofisa wa kijeshi wa chuo cha kijeshi Monduli wakipita mbele yake ambapo alikwenda kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya 205 wa jeshi kwa cheo cha Luteni Usu Januari 23,2016

6 Askari waliohitimu mafunzo ya kijeshi katika chuo cha kijeshi Monduli wakipita kwa kukakamavu mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kutunukiwa Kamisheni kwa cheo cha Luteni Usu Januari 23,2016

7 Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mkuu wa chuo cha Maofisa wa kijeshi cha Monduli Maj Gen Paul Peter Massao wakati wa sherehe za kutunuku Kamisheni Maafisa wapya 205 wa jeshi kwa cheo cha Luteni Usu Januari 23,2016

8 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi mmoja wa wanafunzi aliyefanya vizuri O/Cdt. Mmang’anda katika Mafunzo hayo

9 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni Maafisa  Wapya 205 hawapo pichani .

10 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisoma gazeti la Ngome baada ya kukamilika zoezi la kuwatunuku Kamisheni Maafisa wapya 205 wa Jeshi la Ulinzi.

11 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wapya aliowatunuku Kamisheni pamoja na viongozi wa ngazi za juu wa Jeshi la Wananchi.

12 Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na watoto waliofika kushuhudia tukio hilo la kuwatunuku Kamisheni Maafisa Wapya 205 wa Jeshi Ulinzi.

13   Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa Maafisa wa jeshi kutoka Nchini Nigeria

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *