RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMJULIA HALI MUFTI NA SHEIKH MKUU WA TANZANIA PAMOJA NA KUFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA WODI YA WAZAZI YA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI FEBRUARI 10,2016

0e12f1a2-48f9-4a99-91d2-df9f8fd70ad0

 

a469ecd0-a745-4ab6-93bb-735ff9732a62

 

 

1hvhb  b vgvRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Februari 10,2016 akimjulia hali Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir ambaye amelazwa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya matibabu

0064d1b9-85d2-450b-9b48-632dab10afc2Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir akimuombea Dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya Rais Dkt. Magufuli kumjulia hali Hospitalini hapo.

dbd9a9e4-dfcd-491f-ba50-170f00608fec

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa Dua na ndugu na jamaa mbalimbali ambao walifika Muhimbili kuwaona wagonjwa wao.

0379395c-c1c9-4704-879f-90849b527192

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea katika Wodi ya Wazazi kufanya ukaguzi wa ghafla mara baada ya kuwasili akitokea Dodoma.

95f1ce47-909b-4a55-ad96-272516676405

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Wazazi na amewahidi kutatua kero zao ndani ya muda mfupi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *