RAIS MHE.DKT JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU MHE.BENJAMIN MKAPA PAMOJA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA GUINEA BISAU FEBRUARI 25,2016

1wdfdvgfdv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati alipokuwa akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Benjamin Wiliam Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam Februari 25,2016

6be4d8af-3789-4718-9cd6-3cea233acf6cRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mheshimiwa Benjamin Wiliam Mkapa Ikulu jijini Dar es Salaam.

86ef9304-4088-4daf-91c2-36d3da94bc67 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Genarali Omar Embalo mjumbe Maalum wa Rais wa Guinea Bissau Jose Mario Vaz Ikulu jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine Mjumbe huyo alileta salamu za pongezi kutoka kwa Rais wa Guinea Bisau.

7b43ac9e-5731-47e8-8a95-8052a96d306eRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea barua kutoka Genarali Omar Embalo mjumbe Maalum wa Rais wa Guinea Bissau Jose Mario Vaz.

7140a43f-ddcd-430a-a8a1-ad242342715a

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Mjumbe Maalum wa Rais wa Guinea Bissau mara baada ya kupokea barua ya Salamu na pongezi.

63f0b3cb-c17f-4ff0-9cf0-5173772db23b

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Genarali Omar Embalo mjumbe Maalum wa Rais wa Guinea Bissau Jose Mario Vaz Ikulu jijini Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *