WAZIRI MKUU MSTAAFU WA KENYA RAILA ODINGA AMTEMBELEA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI NYUMBANI KWAKE CHATO MKOANI GEITA April 2, 2016

4c94a777-d9d4-4440-8471-b6be44a3e277Waziri Mkuu wa mstaafu wa Kenya Raila Odinga akiwasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Chato Mkoani Geita kwa ajili ya kwenda kumsalimia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

f11682c4-fb5b-4ded-ab3c-e8aa801ba371Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga nyumbani kwake Chato mkoani Geita mara baada ya Kuwasili alipomtembelea April 2, 2016

e9698d4a-a251-4739-89d1-43a104b42142Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga nyumbani kwake Chato mkoani Geita mara baada ya Kuwasili. Kushoto ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akifurahia.

3aae28e1-8bcc-44be-a7fb-12aa2d73147f Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga akisalimiana na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli mara baada ya kuwasili Chato.

4a39c9cd-51dc-40ba-b506-bbfe127496c9

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya Bi. Ida Odinga mara baada ya kuwasili Chato Mkoani Geita.

46e13e74-2cbb-45ae-b51e-229b99825d9bWaziri Mkuu wa mstaafu wa Kenya Raila Odinga akiwa na Rais John Magufuli, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Raila Odinga Bi. Ida Odinga wakisali kwenye makaburi ya familia ya Mhe. Rais Chato Mkoani Geita.

f809da91-d142-4432-bbf9-00d162544ff1Waziri Mkuu wa mstaafu wa Kenya Raila Odinga akiwa na Rais John Magufuli, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja na Mke wa Raila Odinga Bi. Ida Odinga wakisali kwenye makaburi ya familia ya Mhe. Rais Chato Mkoani Geita.

9a9bd395-11d0-4c40-ab42-86157058b59a Waziri Mkuu wa mstaafu wa Kenya Raila Odinga akiwa na Mkewe Mama Ida Odinga wakiwa katika picha ya pamoja na mama mzazi wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Bi Suzana Joseph Magufuli mara baada ya kuwasili Chato Mkoani Geita.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *