RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUTURU PAMOJA NA VIONGOZI WA MADHEHEBU MBALIMBALI YA DINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JUNE 14,2016

1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum wakati akiwasili kwa ajili ya kufuturu pamoja na viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini Ikulu jijini Dar es Salaam

2 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa viongozi wa dini aliyefika Ikulu kwa ajili ya kushiriki futari ya pamoja na viongozi mbalimbali wa madhehebu ya dini Ikulu jijini Dar es Salaam.

3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum wakati akielekea ukumbini kwa ajili ya kujumuika pamoja na viongozi mbalimbali wa dini katika futari aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es Salaam.

4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Abrahaman Kinana Ikulu kwa ajili ya futari ya pamoja na viongozi mbalimbali wa dini Ikulu jijini Dar es Salaam

5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na baadhi ya viongozi wa dini mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufuturu pamoja na viongozi wengine wa dini Ikulu jijini Dar es Salaam.

6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amepanga mstari pamoja na viongozi mbalimbali wa dini wakati wakielekea kwenda kuchukua futari kwa ajili ya kufuru Ikulu jijini Dar es Salaam.

7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha viongozi hao wa dini kwa ajili ya kuchukua futari Ikulu jijini Dar es Salaam.

8

 

9

 

10ghfjbjhRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali wa Dini mara baada ya kufuturu nao pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam June 14,2016

390f18d7-3a4a-4480-a891-917692b0bc3e

 

 

12 Viongozi mbalimbali wa dini wakifatili hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kufuturu pamoja Ikulu jijini Dar es Salaam.

13 Kaimu Mufti Sheikh Hamid Masoud Jongo akiomba dua mara baada ya kufuturu Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Sheikh mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum

14

 

15

 

16Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wageni pamoja viongozi mbalimbali wa dini mara baada ya kufuturu Ikulu jijini Dar es Salaam

04854903-4b34-4be9-be4d-6fec131c43c2 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisaliminia na wageni waliohudhuria  futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Magufuli  Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016

abb6b034-e10a-48cf-8039-7dc8991ad18a

 

b4be6e0a-7988-4ba4-8544-a980794b97b3Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na wageni waliohudhuria  futari ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa dini iliyoandaliwa na Rais Magufuli  Ikulu jijini Dar es salaam Jumanne Juni 14, 2016

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *