RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AANZA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI MWANZA AGOSTI 10,2016

1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya kuwasili katika Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza.

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kuwasili akitokea Chato mkoani Geita.

whdgdRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mbunge wa Sengerema William Ngereja wakati Rais alipofika mjini Sengerema Mkoani Mwanza na kuongea na wananchi.

4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwalimu Mstaafu wa Shule ya Sekondari Sengerema Wilson Fumbuka Mbanga ambaye walifundisha naye shule hiyo tokea mwaka 1982-1985 mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara Sengerema Mkoani Mwanza.

5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kumaliza kuwahutubia

6

 

7Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Busisi wakati akielekea Mwanza.

8Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani ya kivuko cha MV. Misungwi wakati akielekea mkoani Mwanza.

unnamedMamia ya Wananchi wa Buhongwa Wilayani Nyamagana wakiwa wameziba barabara ili wamsikilize Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. Jonh Pombe Magufuli wakati alipowasili Mwanza akitokea Wilayani Sengerema Agosti 10,2016

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *