RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA MKUU MPYA MTEULE WA MKOA WA ARUSHA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM AGOSTI 19,2016

yfgfhgfghjfRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mrisho Mashaka Gambo kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es salaam Agosti, 19,2016 

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo akitia saini kwenye kiapo baada ya kuapa Ikulu jijini Dar es salaam 

3 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini kwenye kiapo baada ya kumuapishwa na  Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo Ikulu jijini Dar es salaam

4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo  baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam 

1 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mrisho Mashaka Gambo kakumteua kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Agosti, 19,2016

2 Makamo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mrisho Mashaka Gambo kwa kuteulia kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha baada ya Rais kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Agosti, 19,2016

23 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa akimpongeza Mrisho Mashaka Gambo kwa kuteulia kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha baada ya Rais kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Agosti, 19,2016

H3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa Mteule wa arusha Mrisho Mashaka Gambo, Makamo wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Eng. John Kijazi na Naibu waziri wa Ofisi ya Rais Tamisemi na Utawala Bora Suleiman Jaffo   

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *