RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AAGANA NA MGENI WAKE RAIS WA ZAMBIA EDGAR CHAGWA LUNGU KATIKA UWANJA WA NDEGE WA JNIA JIJINI DAR ES SALAAM NOVEMBA 29,2016

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu katika uwanja wa ndege wa  Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

2 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakati wakiangalia kikundi cha matarumbeta kilichokuwa kikitumbuiza uwanjani hapo kabla ya Rais Lungu kuondoka nchini

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakifurahia jambo mara baada ya kuangalia kikundi cha matarumbeta kilichokuwa kikitumbuiza uwanjani hapo kabla ya Rais Lungu kuondoka nchini.

4Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu kabla ya Rais huyo wa Zambia kuondoka nchini mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi.

8FSFSFSRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu ambaye ameondoka nchini mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi Novemba 29,2016

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *