RAIS MHE. DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO UGANDA, PIA AZUNGUMZA NA WANAHABARI MBALIMBALI AKIWA MASAKA NCHINI UGANDA NOVEMBA 10,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati wakizungumza na wanahabari mara baada kumaliza ya kufanya mazungumzo ya te a te katika makazi ya Rais wa Uganda yaliyopo Masaka-Uganda Novemba 10,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijibu maswali yaliyoulizwa na wanahabari mara baada ya kumaliza mazungumzo na Rais wa Uganda Yoweri Museveni  katika makazi ya Rais wa Uganda yaliyopo Masaka-Uganda Novemba 10,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watanzania waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka Novemba 10,2017.

Mwenyekiti wa umoja wa Watanzania waishio Uganda (UTU) ndugu Lesle Benjamini akitoa salamu na risala fupi kwa Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Watanzania hao waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka Novemba 10,2017.

Balozi wa Tanzania nchini Uganda Mhe.Balozi Grace Aron Mgovano akitoa salamu kwa Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Watanzania  waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka Novemba 10,2017.

 Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Watanzania hao waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka Novemba 10,2017.

Baadhi ya Wajumbe wa UTU wakiwa na furaha wakati Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza na Watanzania waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka Novemba 10,2017.

Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba John Mwaluko Kabudi akitoa ufafanuzi wa kisheria wakati Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza na Watanzania waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka Novemba 10,2017.

Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza na Watanzania waishio nchini Uganda katika eneo la Masaka Novemba 10,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli watatu kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na (waliosimama)baadhi ya Watanzania waishio Nchini Uganda,wengine ni Mama Janet Magufuli wakwanza kulia,Balozi wa Tanzania nchini Uganda wapili kutoka kulia,Dkt.Agustine Mahiga wapili kutoka kushoto,Dkt.modestust Kipilimba mkurugenzi Mkuu wa TISS watatu kutoka kulia pamoja na mwenyekiti wa umoja huo ndugu Lesle Benjamin wakwanza (kushoto)mara baada ya mazungumzo na Watanzania hao katika eneo la Masaka Novemba 10,2017.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *