RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA SHEREHE ZA UHURU WA TANZANIA BARA ZILIZOFANYIKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA DISEMBA9,2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea salamu ya Rais kutoka kwa Gwaride maalumu lilioandaliwa na Majeshi ya Ulinzi na usalama wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua  Gwaride maalumu lilioandaliwa na Majeshi ya Ulinzi na usalama wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Satano Mahenge mara baada ya kukagua  Gwaride maalumu lilioandaliwa na Majeshi ya Ulinzi na usalama wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe,Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe,Benjamini William Mkapa wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe,Ally Hassan Mwinyi wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dkt. Ally Mohammed Shein wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

 

 

Gwaride maalumu lilioandaliwa na Majeshi ya Ulinzi na usalama likipita mbele kwa heshima kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

 

Kikosi maalumu cha makomandoo kutoka Jeshi la wananchi wa Tanzania wakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

 

 

Makomandoo kutoka Jeshi la wananchi wa Tanzania wakionyesha umahili na ushujaa wao mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017

 

Makomandoo kutoka Jeshi la wananchi wa Tanzania wakionyesha umahili na ushujaa wao mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017

 Kikundi cha waendesha piki piki za misafara ya Viongozi kutoka Jeshi la Polisi wa Tanzania wakionyesha umahili na ushujaa wao mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017

Askari pikipiki ya msafara wa kiongozi kutoka Jeshi la Polisi wa Tanzania akitoa heshima kwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017

Askari pikipiki ya msafara wa kiongozi kutoka Jeshi la Polisi wa Tanzania akitoa heshima kwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017

Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na Mhe,Ally Hassan Mwinyi(watatu kutoka kulia)Mhe,Benjamin William Mkapa(katikati)pamoja na Mhe,Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakifurahi   wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Ndege vita kutoka JWTZ ikitoa heshima kwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Viongozi wengine wa kitaifa wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Rais wa Zanzibar Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri mkuu Mhe,Majariwa Kasim pamoja na wake za marais na Viongozi wengine wa kitaifa wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Makamu wa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Gharib Bilali(wakwanza kutoka kulia)Mhe,Malecela(katikati)pamoja na viongozi wengine wakiimba wimbo amani  wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Makamu wa Rais Mhe,Mama Samia Suluhu Hassani(wakwanza kutoka kushoto) Makamu wa pili wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Mhe.Balozi Seif Iddi na Marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na Mhe,Ally Hassan Mwinyi(watatu kutoka kulia)Mhe,Benjamin William Mkapa(katikati)pamoja na Mhe,Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakifurahi   wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Spika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Job Yusto Ndugai (wapili kutoka kulia)pamoja na Viongozi wengine wa Kitaifa wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Mjane wa Rais  wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere akiwa na Mjane wa Rais wa kwanza wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mama Fatuma Karume   wakiwa katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

 

Mawaziri na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano na Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar  wakiwa katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama na Makamu wa Rais Mhe,Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi wastaafu na wasasa wakati wa kupokea salamu ya heshima kutoka kwa vijana wa alaiki katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017

Vijana wa alaiki wakiwa wameumba umbo la ramani ya Tanzania  katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ,Makamu wa Rais Mhe,Mama Samia Suluhu Hassan,Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Mhe,Dkt.Ally Mohammed Shein pamoja na Viongozi wastaafu na wasasa wakati wakitazama burudani kutoka kwa vijana wa alaiki katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Vijana wa alaiki wakiimba wimbo wa Uzalendo na kauli mbiu ya tisa disemba katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Barazili zofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ,Makamu wa Rais Mhe,Mama Samia Suluhu Hassan,Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Mhe,Dkt.Ally Mohammed Shein pamoja na Viongozi wastaafu na wasasa wakati wakishangilia  burudani kutoka kwa vijana wa alaiki katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Waziri wa nchi ya waziri mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na walemavu Mhe,Jenista Joackim Mhagama  akicheza wimbo wa amani katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

 

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya na waigizaji wakiimba wimbo maalumu wa amani katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi na Viongozi mbalimbali wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ,Makamu wa Rais Mhe,Mama Samia Suluhu Hassan,Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Mhe,Dkt.Ally Mohammed Shein pamoja na Viongozi wastaafu na wasasa wakati wakiwa wamesimama wakati wa hotuba ili kuwaombea wanajeshi waliopoteza maisha Nchini Congo tarehe 8/12/2017  katika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi na Viongozi mbalimbali wakati wa sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janet Magufuli akiagana na Mama Maria Nyerere mke wa Rais wa kwanza wa Tanzania  Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mara baada ya kumalizika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janet Magufuli akiagana na Bi,Fatuma Karume mke wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume  mara baada ya kumalizika sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Disemba 9, 2017.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *